Titbits from Titi
▪︎ "Nilipewa jina Titi, kwa Waswahili khaswa inamaanisha 'Mama' ▪︎ "Mie Mmatumbi, nimekulia Mtaa wa Gerezani. Wakati huo, utotoni, hapo ndipo palikuwa Uswahilini" ▪︎ "baada ya kuchezwa mkole, nikaolewa, nikafungua binti yangu Halima. Ndoa haikudumu, nikaachika. Nikarudi kwa wazee wangu Mtaa wa Gerezani, nikapanga vyumba karibu na kwetu. Mama alimlea sana Halima (mwanangu)" ▪︎ nikaanza kuimba taarab na...