DONDOO
WATU wenye ulemavu wanayo haki ya:
■ Kuishi
■ Kusoma
■ Kupata ulinzi
■ Afya
■ Kuwa na ajira au biashara inayoleta ujira
■ Kuwa na mpenzi
■ Kufanya mapenzi
■ Kuoa au kuolewa
■ Kupata watoto- wa kutoka kwenye mwili wake, au watoto wa kulea/adopted/fostered
■ Kushiriki kwenye maisha ya kijamii
■ Kushiriki kwenye nyanja ya siasa
■ Kumiliki ardhi na/au mali
■ Kupewa ajira, iwapo wanao ujuzi na stadi zinazotakiwa
■ Kupatiwa vyoo rafiki kwa wenye ulemavu wa viungo
■ Heshima
■ Kusafiri bila ya bughudha
■ Kujipodoa
■ Kufurahia maisha

A disability doesn’t have to be a social barrier. Good etiquette begins with inclusion, not exclusion” — Robert M. Hensel.
Leave a Reply