Composition of Bibi Titi Mohamed and Al Anisa, Siti bint Saad while singing a duet
Tamu ya sukari, tamu ya sukari,
Ulinipa wewe
Ulinipa nyingi, kusudi nilewe;
Haya ni mahaba, haya ni mahaba, yaleta kiwewe
Wala hayana mjuzi,
Kwa yule na wewe;
Mahbuba wangu, mahbuba wangu
Kanipa ruyya penyewe,
Namuona yeye, pasipo mwinginewe
Leave a Reply