Composition of Bibi Titi Mohamed and Al Anisa, Siti bint Saad while singing a duet
Tamu ya sukari, tamu ya sukari, Ulinipa wewe Ulinipa nyingi, kusudi nilewe; Haya ni mahaba, haya ni mahaba, yaleta kiwewe Wala hayana mjuzi, Kwa yule na wewe; Mahbuba wangu, mahbuba wangu Kanipa ruyya penyewe, Namuona yeye, pasipo mwinginewe