PANAHITAJIKA

PANAHITAJIKA

■ Sera ya Taifa ya Ustawi wa watu wenye ulemavu wa aina zote, kuanzia ulemavu wa viungo hadi ulemavu wa ngozi na kusikia

■ Panatakiwa iundwe Baraza kwa ajili ya mustakabala wa watu wenye ulemavu.
Baraza lijumuishe-

Viongozi wa watu wenye ulemavu
• Viongozi wa Imani
• Wanaharakati wa Haki Jamii
• GoT

■ Panatakiwa pawepo na Dawati makhsus kwa ajili ya watu wenye ulemavu ambao huonewa na kufanyiwa jinai mfano-
° Ubakaji
° Uuzwaji kwenye biashara haramu ya ngono
° Ngono lazimishi

■ Pawepo na vyoo kwenye vyoo vya jamii, na maofisini, kwa ajili ya watu wenye ulemavu ambavyo vitakua rafiki kwa watu wenye ulemavu.

■ Wazazi wenye watoto wenye ulemavu wapatiwe counselling na elimu jamii ili wasiwachukulie watoto hao kama ni laana au balaa, bali ni watoto wenye mahitaji maalum.

■ Wanamitindo; Wamiliki wa stesheni za luninga; waimbaji; nk waingize watu wenye ulemavu kwenye wigo rasmi.

■ Jamii iache kunyooshea vidole watu wenye ulemavu na kuwacheka.

Itaendelea…

Together We Can Make it Happen

 

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *